Recent Posts

Bado nahaangaikia swala zima la kuoa,wengi wapo,lakini nani kati yao?

bado naendelea kumtafuta msichana ambaye ni bikra,ambaye hajaguswa au kwa lugha ya vijiweni hajagongwa.Ni tampata wapi?

Je nikishampata alafu aje agongwe nawengine si nitapata maumivu mimi?

Ni tuta kubwa ambalo lilo mbele yangu,ni tuta ambalo vijana wengi wakivuka basi huko mbele ni taabu nyingi sana.

Ni yupi ambaye ata acha lipeshine,lipstick nakupenda kilimo?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, May 28, 2010

6 comments

 1. Fadhy Mtanga anasema:
 2. Maswali hayo ni mepese kwa kuwa yameandikwa kwa lugha nyepesi...lakini ni mazito kwa kuwa yanabeba tafakuri nzito.

  Niulize tu swali, wanapatikana wapi warembo wenye sifa zilotajwa?

   
 3. ni swali ambalo najiuliza kila kukicha.

   
 4. Mija Shija Sayi anasema:
 5. Inawezekana kabisa wenye sifa uzitakazo nao wanawatafuta wenye sifa hizo hizo kwa wanaume ndiyo maana mnachengana.

  Swali je wewe ni bikira? hujawahi kugusa?

  Ujumbe wangu kwako- Hakuna full package duniani.

   
 6. Yasinta Ngonyani anasema:
 7. kaka inabidi umjibu da Mija...

   
 8. Da Mija kunatofauti kati ya mwanaume kugusa na mwanamke kuguswa.Ni wajibu wa mwanaume kugusa lakini mwanamke ni TABOO kuguswa na yeyote yule.

  Full Package zipo lakini ziko mbali.

   
 9. Da Yasinta,nimemjibu D aMija.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo