Recent Posts

Sikumwona ingawa alikuwepo Lekcha room,sikudhani hata sikumoja nitamtongoza lakini akacheza kama Hawa,Nitoto mdogo,nilimwonea huruma,nilijilaumu sana lakini nikachukuwa jukumu la kuhakikisha maendeleo yake ya shule yanapanda chati,kumbe sikujuwa wenzangu kwani alikuwa anauweza wa kubeba bulldozer.

Nikaamuwa niwe mchungaji mwema wa kondoo aliye potea lakini wenzangu nikaaamuwa kondoo huyo apotelee porini aliwe na wanyama pori kwani hata yeye niliamini ni mnyama pori.

Najiuliza tena ni yupi huyo ambaye atakuwa katulia.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, May 28, 2010

1 Responses to Nilikutana na naye Mtwara.

  1. Mija Shija Sayi anasema:
  2. Namna hii utasubiri sana kakangu. Ushauri wangu acha kutafuta aliyekamilika bali tafuta SoulMate, faida ya kuwa na soulmate ni hata mkikwaruzana bado mtajikuta mnapatana baada ya muda mfupi, maana nyoyo zenu kiasili zinapatana.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo