Recent Posts

Siku nyingi zimepita Mkuu Mti Mkubwa.Naandika hapa kibarazanmi kukusalimu huko uliko.Sisi huku ni wazima,bado ninayo mipango ya kuifufuwa the BLACK STAR LINE ambayo itawachukuwa waafrika wote kuwapeleka nchi ya ahadi(shashamane).

Wasalimu ndugu na jamaa.

Amani iwe nasi Mti Mkubwa.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 25, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo