Recent Posts

Kwanini mwanafunzi anaweza kukariri wimbo wowote ule na kuimba bila shida lakini kitabu kinampiga chenga?

Nini maana ya kucheza mziki au kusikiliza mziki?
Ni kitu gani ambacho husasbabisha mpaka kiungo cha mwali kihisi hisia za muziki mzuri?
kwanini kina dada zetu hupenda kucheza kwa kukata viuno?kwani sehemu zingine haziwezi kucheza mziki?

Mimi nacheza reggea kwa uchungu,kwa hisia kali sana,nacheza huku nimefumba macho nakutafakari jinsi gani waafrika ambao wako ughaibuni watarudi afrika.Huku ndio kucheza kwangu.

Je wewe Da Mija?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 25, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo