Recent Posts

Katika dunia ya kitanzania,katika maisha yangu mtanzania haiingi akilini pale naposikia matangazo ya big brother au fiesta jipanguse.

Natamani sana Mwalimu Afufuke.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, July 30, 2010

1 Responses to Fiesta na big brother.(dont make sence to me at all)

  1. Mija Shija Sayi anasema:
  2. Nakuunga mkono rasta, tena kwa asilimia 100.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo