Recent Posts

Baada ya miaka kadhaa,binadamu atazaa kiumbe au viumbe ambavyo havitafanana na binadamu wa leo,viumbe hivyo vitakuwa nusu binadamu nusu mnyama,viumbe hivyo vitakuwa na mikia.

Nilikuwa nimekaa juu ya kilima huku miguu yangu ikiwa ndani ya mto,huku nikiaangalia jinsi gani dagaa wanachezea maji.

Baada ya muda nikakiweka kichwa changu juu ya jiwe na kufumba macho na hapo ndipo nilipotabiriwa kuhusu viumbe hivyo vya ajabu.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, July 30, 2010

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Mmmhh! hii kali kwelikweli!

   
 3. SIMON KITURURU anasema:
 4. DUH!

  Nikitoka nje ya ho...
  RASTA ukarabati wa kijiwe hiki bomba kinoma. Nikimanisha Blogu hii imependeza kweli.

   
 5. Da Yasinta,amini usiamini.

  Mkuu Simon,Ahsante kaka,bado najari kuitengeneza kaka.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo