Recent Posts

hii ilikuwa 17/7/2010 kule Bungo Kibaha,hawa ni wasanii wanaodumisha utamaduni katika nchi yetu ya Tanzania,wako tofauti na wale wasanii wanaodumisha utamaduni wa mwafrika kule ugenini kwa ni nyumbani(ughaibuni).

Takribani miaka 5 nimekuwa na hiki kikundi,mwanzilishaji wa kikundi,wote ni wasanii,kwasasa nimewaachia na wengine waonyeshe vipaji vyao katika kuelimisha utamaduni wa Mwafrika Afrika.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, July 17, 2010

5 comments

 1. mwandani anasema:
 2. safi sana kaka!

   
 3. Mija Shija Sayi anasema:
 4. Mbona hauonyeshi kama ni mmoja wao? Inaonekana kama umeshuka kutoka ughaibuni...

  Hongera sana lakini.

   
 5. Yasinta Ngonyani anasema:
 6. Hongera kaka, inapendeza!!

   
 7. John Mwaipopo anasema:
 8. wakilisheni ipasavyo. ila kama alivyosema mija unaonekaka kama an alien.

   
 9. @Mwandani ahsante kaka.
  @Mija ahsante kwa mtazamo wako.
  @Yasinta Thanks
  @Mwaipopo kweli?

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo