Recent Posts

Inawezekanaye mtu mmoja anakuwa na kakzi zaidi ya 1?

Mfano;

Ni mwalimu,mkulima,mfanya biashara kubwa kubwa na ndogo ndogo,mlezi n.k.........Inakuja kweli hii?au tunababaisha tu?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, July 31, 2010

3 comments

 1. John Mwaipopo anasema:
 2. wanasema maisha yetu kwa ujumbla ni ya kuchakachua!

   
 3. chib anasema:
 4. Mtu huyo bado hajajua nini cha kufanya, ndio maana anadaka kote kote

   
 5. Mija Shija Sayi anasema:
 6. Haiwezekani rasta.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo