Recent Posts

Kutokana na utamaduni wetu,waafrika,mtoto azaliwapo hupewa majina matatu,jina la kwanza likiwa la nyumbani,jina la pili la baba yake nala tatu la ukoo.

Sasa leo nashangaa pale mtu anajitambulisha kwa majina kama vile Veronica William au John Smith.

Je vyazo vya jina ni nini?Ni vitu gani babu zetu waliaangalia kabla hawajampa mtoto jina?

kweli!jina langu laweza kuanza hivi Mcluihamu?

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, July 29, 2010

2 comments

  1. ndo maana mwanangu hajapewa majina yakikoloni, nisiyojua hata maana yake, atapewa jina nijualo maanayake tu!!

     
  2. Nuff Nuff respect kaka.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo