Recent Posts

Muda ulipofi ili neno litimie,wakaamuwa kukata Locks ili zisizidi kuwauumiza kwani waliteseka sana na Locks za nabii.

Wakati nabii akiwa bado anaaza kuimba tungo bila Locks,hawakuweza kupata maumivu ya Locks zake.Locks zilizidi na kuongezeka kila siku ya juwa,Locks zikaanza kuwakuna kila kiungo cha miili,basi wakaamuwa kuzikata zile Locks ili wasiendelee kupata maumivu ya Locks.(Mwalimu wa Nabii Robert Nesta Marley,Mortimer Planno).

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, July 29, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo