Utakatifu ni nini?
kwanini tubishane kuhusu utakatifu?
yeye ni mtakatifu katika fani yake,anajuwa kwanini kajiita mtakatifu.
Mtakatifu(jina) laweza kuwa a.k.a,i mean laweza kuwa kama notorious b.i.g.,2pac, n.k,kwahiyo kwa yeye kujipa jina laUtakatifu laweza kuwa A.K.A kwake.
Friday, July 30, 2010


Chaajabu naamini hakuna Binadamu awezaye kuwa MTAKATIFU!:-(
Mkuu,umenena,nadhani mtakatifu ni nomino tu,au sio.