Recent Posts

vidudu,
si vijidudu,
si wadudu,
bali ni vidudu.

miaka hiyo vidudu,
twaliimba na kucheza vidudu,
twaamshwa kula na kulala vidudu,
natamani vidudu.

kwanini mwaliita vidudu?
wakati vidudu having'ati?

natafuta vidudu vya wakubwa,
vidudu vinikumbushe ukubwa,
na ukubwa bado natamani vidudu,
sijali ukubwa napenda vidudu.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 16, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo