Recent Posts

Kazaliwa tena wa kiume,
kazaliwa tena wa kike,
tuimbe na kucheza,
chereko chereko,

kaolewa tena wa kike,
kaowa tena wa kiume,
tuimbe na kucheza,
chereko chereko,

Kafa tena wa kiume,
kafa tena wa kike,
tuimbe na kucheza,
chereko chereko.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, August 22, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo