Recent Posts

Nukuu katika barua pepe.
Kwasababu hauko ugenini ndio kisa cha kutusakama sie tulioko ugenini?
Jibu langu hapana kwasababu kile nachozungumza ni mwamko wa waafrika wote walioko ugenini kurudi nyumbani kwani kuna eneo kubwa ambalo limehifadhiwa miaka ndenda rudi kwa ajiliyenu.

Naamini mwanzo ni mgumu,lakini naamini mtazoe mazingira.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, August 19, 2010

3 comments

 1. Mija Shija Sayi anasema:
 2. Hilo nalo neno Kaka.

   
 3. Mija,sijakuelewa bado.

   
 4. Maisara Wastara anasema:
 5. Na kweli nyumbani ni nyumbani kaka......

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo