Recent Posts

Chupi ni aina ya nguo na vilele ni jina kama suruali,shati,kaptula n.k

Kweli kabisa,nifuapo suruali,shati,pensi huzianika uwani ....
....lakini nifuapo chupi huificha pembezoni mwa kitanda kwa nini?

swali ...

kwanini chupi ni one of the Top classifield nguo?

unajuwa kuna wanaume waonapo tu chupi ya kike fikra huama na mwili kusisimka?

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, August 22, 2010

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Ni swali zuri sana na ambalo limekuwa likinisumbua sana tangu nilipopata akili na nimeuliza na uliza na jibu sijapata labda hapa leo nami nitapata jibu. Ahsante kaka kwa makala hii ya chupi!!

   
 3. Da Yasinta,ahsante kwa kuchangia makala hii.

   
 4. John Mwaipopo anasema:
 5. mie huwa naanikanga katikati ya kamba juani kweupeeee

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo