Recent Posts

Wengi wetu tumecheza rede au kombolela bila kusahau sarakazi,miaka hiyo tukiwa watoto.

swali...

kwani hii michezo ina umri?mbona mziki unachezwa hata na vikongwe?

Je inawezekana?

......kumkuta baba au mama mtumzima wanacheza kombolela?

katika utoto wako ulipenda mchezo gani?

wengi tulipenda mchezo wa baba na mama,unajuwa kwanini?....naamini wengi tulianza ujuzi hapa au kutokana na mchezo wa baba na mama.......

kati ya michezo yote,mmoja tu naona unafaa.

Kombolela.....

Butua uwakomboe wenzako.

Hata leo hii tunaweza kucheza kombolea,kwa mfano wale wawakilishi wetu wa JUMUWATA wameshindwa kutukombowa labda kwasababu kile kifaa cha kombolela mpaka leo hii hakionekani.

.......vilevile blogu zetu za weza kucheza mchezo wa kombolela..kukomboa kwa kutowa elimu ya blogu kwa bloggers.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 23, 2010

1 Responses to kombolela,rede nk.

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. uwwiiiiiii!!! umenikumbusha rede redesta we acha tu. shukrani kwa kumbukumbu..

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo