Recent Posts

Nabii Joseph Hill wa Culture in Culture alinena....

........ the more civilization is upon my head,the more foolish i become,.......i tryed and i tryed and tryed to make them understand............Ohh Lord I tryed......


Swali.........

unashika umma kwa kutumia mkono wa kushoto au wa kulia?

je......

unaweza kula kwa kutumia kijiko na kisu?

Je......

kula kwa kutumia mikono inamaana iam not civilized?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 23, 2010

4 comments

 1. Anonymous anasema:
 2. Hili swali lako linanikumbusha mabishano ya mtoka mjini na mtu wa shambani. Wakiwa mjini, mtoka shamba anaitwa mshamba kwasababu ya kushangaa magari na mgorofa, je mkiwa shambani mtoka mjini akishangaa nyani na tumbili tutamuita nani?
  Mimi kushindwa kula kwa kutumia umma na kisu sioni ni kuwa ni `ushamba', wataona hivyo wale ambao wamezoea kutumia vitu hivyo, na huenda ni utamaduni wao. Mimi nimezoea kula kwa mkono na sana sana kijiko, na muda wote natumia mkono wa kulia, kwangu mimi ni sahihi kabisa, na nikimuoa huyo anayetumia kisu na umma halafu anatumia mkono wa kushoto nitamshngaa kidogo, na huenda nikamuita...! hapo

   
 3. chib anasema:
 4. Naona umebadili muonekano wa blog yako. Safi sana Mkuu

   
 5. Huwa nashangaa nikimwona mtu amekazana kula ugali kwa kutumia uma!

   
 6. SIMON KITURURU anasema:
 7. Hivi ugali kwa vijiti vya kichina unakwenda? Sijashuhudia bado mtu akikata tonge kwa chpustiki.:-(

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo