Recent Posts

...safari ndio hiyo...
naondoka kesho saa mbili kamili asubuhi na basi la sai baba.

Naamini nikiwa njiani nitatafakari mengi sana....Naamini tutafika salama.

Mpaka wakati mwingine.....

..kama umeoa mpende mke wako na...
....kama umeolewa mpenda na kumheshimu mume wako

na kama....

unamchumba au unakula vya watu..tubu.

sellasi.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, August 25, 2010

5 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. nakutakia safari njema sana na usikose kutukumbuka upatapo wasaa.

   
 3. Anonymous anasema:
 4. Safari njema, natumai hutatusahau angalau kazawadi kadogo

   
 5. SIMON KITURURU anasema:
 6. Safari Njema Mkuu!

   
 7. Safwari njema saaaana kaka! ukiludi utileteeko sawadi, hata ya samaki nchanga!

   
 8. ..kama umeoa mpende mke wako na...
  ....kama umeolewa mpenda na kumheshimu mume wako

  na kama....

  unamchumba au unakula vya watu..tubu.

  Nimecheka sana. Asante na safiri salama!

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo