Nampenda naye ananipenda au nisiusemee moyo?Mafanikio ya Mtwara,anaitwa Magdalena Stapakwe.
Hongera MKUU!
Na karibu tena katika kublogu Mkuu maana ulipotea kweli Mkuu!
Mkuu umerudi , karibu sana, na HONGERA NYINGI. Tunakusubiri kwa hamu utupe za huko, na zawadi usisahau
Kusema kweli nimefurahi sana kwamba umempata akupendaye. Ninawaombea muendelee hivyo, na pia karibu tena uwanjani.
EEhh! lya lya lya hivyo ni vigelegele kakangu. Ni furaha sana kwa kumpata akupendaye na umpendaye. Halafu KARIBU SANA KATIKA HII FAMILIA YA KUBLOG TUMEKUMISS KWA KWELI.
Asante kwa ushauri wenu na mawazo yenu.
Hongera ras, kweli mvumilivu hula mbivu... nimefurahia sana kurudi kwako kwenye blogu!
Hongereni!!!!!!!!!
Serina Kalande,mzima wewe,nashukuru kwa kunikaribisha.MMN Ahsante sana.
Hongera MKUU!
Na karibu tena katika kublogu Mkuu maana ulipotea kweli Mkuu!
Mkuu umerudi , karibu sana, na HONGERA NYINGI. Tunakusubiri kwa hamu utupe za huko, na zawadi usisahau
Kusema kweli nimefurahi sana kwamba umempata akupendaye. Ninawaombea muendelee hivyo, na pia karibu tena uwanjani.
EEhh! lya lya lya hivyo ni vigelegele kakangu. Ni furaha sana kwa kumpata akupendaye na umpendaye. Halafu KARIBU SANA KATIKA HII FAMILIA YA KUBLOG TUMEKUMISS KWA KWELI.
Asante kwa ushauri wenu na mawazo yenu.
Hongera ras, kweli mvumilivu hula mbivu... nimefurahia sana kurudi kwako kwenye blogu!
Hongereni!!!!!!!!!
Serina Kalande,mzima wewe,nashukuru kwa kunikaribisha.
MMN Ahsante sana.