Recent PostsNampenda naye ananipenda au nisiusemee moyo?Mafanikio ya Mtwara,anaitwa Magdalena Stapakwe.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, December 23, 2010

9 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. Hongera MKUU!

   
 3. SIMON KITURURU anasema:
 4. Na karibu tena katika kublogu Mkuu maana ulipotea kweli Mkuu!

   
 5. Anonymous anasema:
 6. Mkuu umerudi , karibu sana, na HONGERA NYINGI. Tunakusubiri kwa hamu utupe za huko, na zawadi usisahau

   
 7. Mija Shija Sayi anasema:
 8. Kusema kweli nimefurahi sana kwamba umempata akupendaye. Ninawaombea muendelee hivyo, na pia karibu tena uwanjani.

   
 9. Yasinta Ngonyani anasema:
 10. EEhh! lya lya lya hivyo ni vigelegele kakangu. Ni furaha sana kwa kumpata akupendaye na umpendaye. Halafu KARIBU SANA KATIKA HII FAMILIA YA KUBLOG TUMEKUMISS KWA KWELI.

   
 11. Asante kwa ushauri wenu na mawazo yenu.

   
 12. Anonymous anasema:
 13. Hongera ras, kweli mvumilivu hula mbivu... nimefurahia sana kurudi kwako kwenye blogu!

   
 14. Hongereni!!!!!!!!!

   
 15. Serina Kalande,mzima wewe,nashukuru kwa kunikaribisha.

  MMN Ahsante sana.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo