Recent Posts

imeshindikana au bado michakato inaendelea?

Umewahi kujaribu kutamka THE UNITED STATES OF AFRIKA?How does it feel?

Ndoto yangu kuona nchi zote za Afrika zinaungana.Inawezekana.

Ndoto yangu ya pili,kuona waafrika wote waishio nje ya Afrika,kurudi Afrika.

Ndoto ya tatu na swali la katika ndoto hii,Je waafrika ambao wameolewa na wageni watarudi Afrika?Je kama wanawatoto itakuwaje?

Inawezekana.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 16, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo