Recent Posts

Najiuliza is it utandawazi?au mdogowake globalizatio?Leo hii kuna vijana wanapenda sana kulelewa na mabinti.Unakuta kijana mtanashati anatamani binti amlee,anatamani kuwa na simu ya bei mbaya,anatamani gari,nyumba la n.k

Hayo yote yanatokana na nini?

Je ni malezi?au ni hizi nyimbo za bongo fleva?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 16, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo