Recent Posts


Unajuwa waweza kupumbaza watu wakati fulani tu.Pete kama pete ukisoma historia yake hutoamini wewe ambaye umevaa na unanisoma,pete ilikuwa kama urembo katika matamasha ya urembo miaka hiyo.
Leo naona maduka au sonara yanavyozidi kujengwa.Kiukweli hakuna connection yoyote kati ya pete na ndoa na tukizidi sana kufanya utafiti tutagundua ya kwamba pete ni ishara ya sanamu,tunaabudu sanamu,tunadhani pete itasaidia ndoa isisabaratike,bado tuko kwenye mwanga lakini bado tunahitaji tochi kumulika.
Nikikushauri uvue pete yako nitakuwa katili,lakini jaribu kuchukuwa muda na itizame pete yako kwa makini then kisha tafakari.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 16, 2010

4 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. Tatizo ni kwamba KUTAFAKARI ni lakshari katika jamii hasa kwa aogopaye jamii inafikiria nini katika hilo.:-(

   
 3. Mkuu nimekupata kiakika zaidi.Karibu sana mkuu.

   
 4. Yasinta Ngonyani anasema:
 5. Pete sikujua kama pete ni urembo. Ngoja nivue na kuitazama kwa makini niona kuna nini. Ahsante kwa somo hili.

   
 6. Da Yasinta,umewahi kujiuliza kwanini wanaume hawavai pete ya engement?hivi mwanamke anaweza kuvaa pete ngapi za engement?

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo