Recent Posts

nipo,ila tu majukumu ya hapa na pale,nimekuta mambo sio,najitahidi kurekebisha mitambo,naona maendeo katika anga ya blogu Tanzania kwani siku za kuzaliwa zazidi kushamiri kuliko namna ya kutatuwa matatizo yanayo tukabili.Bado naona wa ugenini washamiri kuabudu ugeni,hawataki kurudi nyumbani kwani nyumbani nako ni ugenini.Bado naona salamu za kutakiani heri na sikuku ya.......zashamiri kuliko ujumbe kuhusu kilimo kama uti wa mgongo.Bado wanatuma salamu kwa ndugu zao na kupachika picha kwani wanataka tuone ugenini kulivo.Bado hawataki kurudi nyumbani kwani huku kupata muda wa kublogu hakuna,Bado wanalewa ugenini,bado mawe meupe yawachanganya ugenini,bado hawezi kupika chakula chake cha nyumbani ugenini,sijui kwanini abeba box ugenini.Bado bado wanaowa na kuolewa ugenini,bado bado wanazungumzia ya nyumbani na kulaumu wakiwa katika mawe meupe.

Licha yao kuwa ugenini na kushabikia tekinolojia wameshindwa kufufuwa JUMUWATA.Bado Bodo sana.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 7, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo