Recent Posts

penzi ni nini?kama penzi ni tamu kwanini twauguwa mapenzi?kama kupenda ndio huku sijui.Kwanini mtu ukose amani kwasababu ya mtu mwingine?Kama ni upendo wa dhati basi tupendane kwa dhati.

Je!!!kwa walio ugenini,penzi la huko ni tofauti nala huku?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 7, 2011

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. penzi ni penzi!!

     
  3. Kweli Da Yasinta?

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo