Recent Posts

Break,Break,Break...
sote twaitaji mapumziko katika maisha lakini mapumziko hayo yatapatikana baada ya mafanikio fulani katika maisha.

Je......

wewe msomaji umewahi kwenda mapumzikoni?

Je......

wewe msomaji mapumziko yako ni wapi?

Je wajuwa........

waishio ugenini hurudi nyumbani kama mapumziko na sio kwao?

Je wajuwa kwanini nahitaji mapumziko...

Sito kataa tama katika maisha,nitafanikiwa hata kama juwa likizama.

Nakutakia mapumziko mema ila utakuta mwana si wako.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 7, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo