Recent Posts

Nimetumiwa hii sms jana tarehe 7/01/2011.Saa 12:40:21(masaa yetu ya nyumbani)

lui mume wangu
nakupenda sana ilo elewa,naelekea kariakoo kutembea huenda akili yangu itapumzika,kuwa na amani tuko pamoja niamini.Nitarudi jioni.Luv you.

Nikipiga simu haipatikani,nami nimechoka,haikuwa bahati yangu,hakuwa wangu.Kila la heri ulipo binti Mage.

Je!! kama ananipenda kweli kwa nini simu kazima?kwanini hapatikaniu hewani?

Naomba ushauri ndugu zangu.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 7, 2011

5 comments

 1. Mija Shija Sayi anasema:
 2. Hee hayo tena makubwa...ila Lui inaonyesha una wasiwasi sana na labda hauamini kama umepata akupendaye...

   
 3. Da Mija,mi nashindwa kuelewa kabisa,we had good time but jana it was tofauti and now her phone is off and she sent that sms so sijui niamini nini,i wont wait for too long kabisa yani,haya sio maisha thats why mimi i decided to be single and not this headche.

   
 4. Yasinta Ngonyani anasema:
 5. aisee! kupenda ni kazi sana...mmmhh!ila atarudi tu kaka

   
 6. emu-three anasema:
 7. Mhhh, kawasababu simu ipo busy, kutafuta zawadi za kukununulia wewe mke wangu mpeni, siunajua tena maduka ni mengi, inabidi uwe na mawasiliano na...hebu kidgi nipokee hii simu mpenzi...

   
 8. Kweli karudi namshukuru mungu.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo