Recent Posts

Toka utotoni,tulilelewa katika maadili(kwa wale ambao wako ugenini sijui).Hivi umewahi kujiuliza nani alikufundisha mapenzi au tendo la ndo....
hivi tendo la ndo nini?

kwanini tusiseme baba na mama wanato........kwanini tunasema ni tendo lando(wanapunguza ukali wa maneno)

Hivi kikojoleo kingekuwa sabani leo hii wengi tungekuwa hatuna....lakini cha ajabu wengine wanarefusha viungo vyao ili iweje?

Hivi uke wa mwanamke unamwisho?kwa wanaume unamwisho,unaweza kupima urefu wake,je kwa wanawake waweza kupima kupima kimo chake?

jiulize nani kakufundisha mapenzi?

hivi kunatofauti kati ya

1.kufanya matusi
2.kufanya mapenzi
3.tendo la ndoa

Nani kakufundisha matusi?

Nani alikwambia tendo la ndo huhalalishwa kanisanani?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 14, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo