Recent Posts

shikamoo mama,
shikamoo baba,
shikamoo kaka,
shikamoo dada,
hamjambo huko mliko?
huku sisi tuliko,tuko kama hatuko,
shikamoo mjomba,
shikamoo shangazi,
shikamoo Serina Kalande,
shikamoo Da Mija,
shikamoo Da Yasinta,
Shikamoo Mkuu Kitururu,
shikamoo Emu-3,

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 14, 2011

1 Responses to salamu.

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Shikamoo nawe pia kaka!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo