Recent Posts

Je,duniani kuna wanawake wa shoka wangapi?Mwanamke wa shoka anapaswa kuwa na sifa zipi?
Je,yeyote yule aweza kuwa mwanamke wa shoka?

Je,kunatofauti kati ya mwanamke wa shoka na mwanamke wa Panga au jembe?

Jibu nani analo?

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, January 11, 2011

1 Responses to Nini maanda ya kuwa mwanamke wa shoka?

  1. emu-three anasema:
  2. Mwanamke wa shoka, mwanamke wa panga, mwanamke wa nanihii...ni mtizamo wa mtu mwenyewe, yeye anaweza kukuita hivyo kwa tafsiri yake, na wewe unaweza kujiita vingine kwa tafsiri yako, lakini mwisho wa siku sote ni `wana- wa adamu' mke au mume, au sio...usijali sana na hizo sifa, ni mtizamo binafsi!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo