Recent Posts

wote wapangaji pamoja na mama mwenye nyumba.Ni asubuhi mapema,kuna wapangaji wanafuwa,kuna wapangaji wanaosha vyombo,kuna wapangaji wanaota juwa gafla anatokea mpangaji mmoja na kipenzi chake,mkononi kipenzi kabeba ndoo ya maji,njemba njemba inafuta nyumba huku kabeba dish soap.Kipenzi kajifunga khanga moja,umbo lote njee pia kipenzi kile kilikuwa kimebepa kisosa cha chai(maajabu)

Gafla,mtoto wa mama mwenye nyumba akauliza,mama mbona wameingia bafu moja na kisosa cha chai?

Je ! msomaji ungemjibu nini huyu mtoto?

Jamani ndugu zangu.....

Hicho kipenzi umelala nacho usiku kutwa,kama ni kuona na kuchokonowa umechokonowa sasa swala la bafuni tena wote wawili na kisosa mbele ya wapangaji wengine hamwoni haya?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, February 19, 2011

1 Responses to kisosa cha chai bafuni ni cha nini?

  1. Anonymous anasema:
  2. Ningemjibu mwanangu kuwa `hayo ni maswala ya watu wakubwa, ...' Mhhh, kwanini wafanye hivyo wakati walishaonyeshana kila kitu ndani...ni mapenzi, na mapenzi ya wawili hayana mpaka,lakini inabidi wahusika kuangalia kuwa `kuna watoto' kuna watu wa heshima, basi kama wewe ni muungwana, fikiria nafsi za wenzako kwanza...

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo