Recent Posts

Wanatwambia vijana tuwe wabunifu,tuache kukaa vijiweni,our brains needs to be thinking 24 hours.

Baada ya kuangalia na kufanya utafiti kwa makini kabisa,nikagunduwa hakuna biashara yoyote ile inayotowa huduma ya kunyowa sehemu za siri(hizi sehemu za siri ndio zipi hizo,kwanini tusianike mambo hadharani)?

Ubunifu wangu ni wakipekee,biashara yangu itakuwa inatowa huduma ya kunyowa wateja wake nywele ambazo zinapatikana katika sehemu zetu za siri.

Kwasasa natafuta mtaji.

Karibuni nyote kwa huduma hii.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, February 19, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo