Recent Posts

Kwanza ntampongeze kijana ambaye katoa jasho lake katika swala zima la kuowa, sito towa pongezi kwa wale vijana ambao wazazi wao kwasababu ya hela basi wanatafutiwa wake na wazee wao hao kuendesha shuighuli zima ya harusi.

KUNA TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MTOTO WA KIUME.

Kuna wale vijana wanaoowa matako,nywele,macho,vidole vya mwanamke na sio mwanamke mwenyewe.

Kuna wale mabinti ambao wanaowa pesa,kifua,mabega ya mwanaume na sio mwanaume mwenyewe.

Kuna wale vijana wanatongozewa pasipo wao kutongoza na kuna wale vijana wao ngono hawaijui.

Kuna wale vijana kununuwa kondom wanaona aibu na pia kunawale vijana licha ya kuwa na kondom mfukoni hawaitumii kwa kuwa mapaja ya nani hayana nani.

Kuna wale vijana wanataka kuowa ugenini na kuna wale mabinti wanataka kuolewa ugenini.

Je wewe msomaji uliowa au uliolewa?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, February 19, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo