Recent Posts

nimestuka,mapigo ya moyo yakazidi kwa asilimia 150 pale nilipoona vijana wanajiaanda na siku ya valentine,nikajiuliza hivi hawa ndio nguvu ya kesho?

Mapigo ya moyo yalizidi kunipasua pale niliposikia radio moja ambayo sipendi kuisiliza walipokuwa wanatanga siku ya valenti kila baada ya dakika 1.

kweli.....ubongo wetu una nafasi ya siku ya valentine?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, February 14, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo