Recent Posts

Msaada wowote ule hutolewa kwa hiari pasipo kulazimiswa pia ombi lolote lile la msaada hatakama huwezi kumsaidia ni vema kumjibu mwomwombaji kama alivo kuomba.

Matatizo hayana muda au kalenda.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, February 10, 2011

1 Responses to nikifanikiwa nawe umefanikiwa,ukifanikiwa nami nimefanikiwa.

  1. Anonymous anasema:
  2. Naomba msaada....`unaomba msaada, mimi nina matatizo mengi, watoto wanadaiwa ada, nina tataizo la kodi ya nyumba, nina tatizo la....
    Je hilo ndio jibu?
    Kama una uwezo msaidie kama huna mwambie sina, ...ukimsaidia utakuwa umejisaidia mwenyewe, kwani umewekeza katika akiba yako ya baadaye(kwa wenye imani za dini)!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo