http://ruhuwiko.blogspot.com/
Wakati nikiwa Mtwara nilikuwa nakula sana chakula cha aina hii.Samaki Mtwara wana bei sana,hao dagaa hapo labda wanaweza kuwa wamenunuliwa kwa kiasi cha shilingi 5000,kwani kila fungu la dagaa ni 500.
Licha ya hali ya maisha ya Mtwara kuwa magumu lakini mpake leo hii,napamiss sana Mtwara.
Wednesday, March 16, 2011
Kumbe tupo wengi hicho ni chakula changu pia halafu umetaja samaki mate haya yameanza kunidondoka. Hakika......
chakula cha aina napanda sana.