Recent PostsHii ni moja ya kazi ya Da mija,naamini Da Mija anavipaji vingi kwani mara kwa mara hupachika kazi za mikono yake hapa http://damija.blogspot.com/ .Hongera sana Dada.
Naamini wengi wetu ambao tuko huko ni mara moja au kwa nadra sana kula au kutengeneza vitu kama hivi.Naamini wengi tunaweza kutengeneza mambo kama haya ila vikwazo vingi.
baadhi ya vikwazo ni....
Gharama za maisha zimepanda.
Ukubwa wa familia.
umeme ndio usiseme.
mkaa bei kama ya gari.
Tunachoweza kufanya wa huku,tunakula kwa macho,si muda mrefu vitumbua navyo tutakuwa tunakula kwa macho.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, March 16, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo