KIchwa cha nyumba ni MWANAUME?
Nadhani ni mwanamke...
Ni kweli lakini kichwa bila kiwiliwili ni kazi bure au unabisha?
Da Yasinta huna uhakika?mbona umetumia "nadhani"Da Mija,uwepo wa kiwiliwili na uwezo wake lazima utambulike,usiwe kiwiliwili jina tu.
Nadhani ni mwanamke...
Ni kweli lakini kichwa bila kiwiliwili ni kazi bure au unabisha?
Da Yasinta huna uhakika?mbona umetumia "nadhani"
Da Mija,
uwepo wa kiwiliwili na uwezo wake lazima utambulike,usiwe kiwiliwili jina tu.