Recent Posts

Kama umepata nafasi ya kuoa au kuolewa na wakati unaowa au unaolewa hukuwa bikra mshukuru Mungu wako.

Swali?

Kwanini dada zetu wanashindwa kujizui na kupoteza ubikra wao kabla hawajaolewa?

Mimi ningependa nioe tunda ambalo bado halijamegwa kwani tunda ambalo limemegwamegwa si tunda tena bali ni uchafu kwani kila aliyemega kamega na kubakiza madhara yake ndani ya tunda hilo.

Mwali mweee.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, March 16, 2011

2 comments

  1. Mcharia anasema:
  2. Halafu wewe!!! anyway, mshirikishe Mungu katika uchaguzi wa mwenzi. Lakini usichague halafu ndio umuombe. Mwambie akupe bikra na wa kufanana na wewe he will give. Mungu (JAH) ni wa ukweli,.

     
  3. Yasinta Ngonyani anasema:
  4. Kwa maisha ya siku hizi fanya kazi kweli kumpata bikira. Ingekuwa zamani ungepata bila wasiwasi.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo