Recent PostsPosted by nyahbingi worrior. Saturday, March 19, 2011

3 comments

 1. Mija Shija Sayi anasema:
 2. Rasta unaonaje baba anyang'anywe title ya kichwa cha nyumba na kupewa Mama?

  NAKUPENDA SANA MAMA!!!

   
 3. SIMON KITURURU anasema:
 4. Mama MUHIMU!

   
 5. Mija,mtoto atamtambuaje baba yake?Je,mtoto atamtambuwa baba yake kwa jina ua vitendo vya baba?

  Baba anaweza kupoteza ubaba wa nyumba endapo atakuwa baba maneno pasipo vitendo.

  Mzee Simon,sikatai,mama ni kiungo muhimu sana katika maisha na malezi ya familia.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo