Recent Posts

licha ya ugumu au urahisi wa maisha bado sote tunapata baraka za Mungu za mvua. jaribu kuchambuwa hii sentensi.. we all share the sun but we cant share homes. kuna wale kati yetu wanajiona wao wanafaa dhidi ya wengine,kuna wale ambao wakifika kanisani,msibani wanapenda sana uwepo wao utambulike. Kuna wale ambao baada ya kufanya tendo la ndoa hawapendi hata rafiki wa karibu ajue,pia kuna wale ambao hawapendi kuanika chupi zao hadharani. Kuna wale kati yetu wanapenda kunukia vizuri katika kundi la watu na kuna wale kati yetu hawapendi sindano. Kuna wale kati yetu wanatamani hadi leo hii wangekuwa na ubikra,pia kuna wale kati yetu hawapendi kutunza ubikra wao. kuna wale kati yetu hawezi kumfikisha mwanamke kwao kijijini na kuna wale kati yetu huwafikisha wanawake kijijini na kuwapitiliza. kuna wale kati yetu.......

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, March 29, 2011

1 Responses to Ndani yetu kuna watu.

  1. SIMON KITURURU anasema:
  2. Na katika watu kuna UTU na UNYAMA,...
    ... na yote labda ni UBINADAMU!:-(

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo