Recent Posts

picha kwa hisani yahttp://mjengwa.blogspot.com

Naamini hata mtoto mdogo anatamani atiliwe kachumbari katika uji au maziwa,sembuse mtu mzima mwenye akili timamu au punguani?

Gharama ya maisha imepanda,bei ya bidhaa haishikiki kwa wengine kama Nyahbingi Worrior lakini inashikika kwa wengine kama...........

Ngoja tupinge mahesabu ya gharama ya KACHUMBARI kwa mlo mmoja.

Nyanya Kilo moja 3000,sado 3500,fungu 1500.
Kitunguu kilo moja 2800,sado 4500,fungu 500.
pilipili fungu 200(10)
Ndimu fungu 500 (3)

Almost inakukost 10,000 kuandaa kachumbari tu ya mlo mmoja.

Je!ukijumlisha na gharama ya chakula kwa huo mlo?

Itafika kipindi tutasahau kuunga mbonga.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, April 25, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo