Recent Posts

Picha kwa hisani ya http://mjengwa.blogspot.com/

Wakati napitia kurasa ya kaka Maggid,nikakutana na hii picha.Hii picha imenifanya nijiulize maswali mengi sana.

Swali la Kwanza.

Baba yuko wapi?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, April 25, 2011

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Ni swali nzuri sana Baba yupo wapi mapaka mama huyo achukue majukumu yote? Hata wanasema hakuna kama mama ...Jamani jamani ....

     
  3. Da Yasinta,baba yuko wapi?

    Unaweza kuta baba ana maPHD lakini katika kulea familia ni zero.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo