Recent Posts

Leo hii wanyama kama paka na mmbwa wanakula saani moja,wanaelewana,paka anamlinda mmbwa,mmbwa anamlinda paka.

Leo hii chui na swala ni kitu kimoja,wanalindana na kupendana.

Leo hii kuna binadam wanaoishi na wanyama kama simba,nyoka,tembo n.k.

LAKINI....

Leo hii BINADAM NA BINADAM wanauwana,wanapigana,wanachukiana,wanasemana n.k.

Binadam anasemekana ndie kiumbe pekee chenye upeo wa kufikiri kuliko kiumbe kingine kile lakini bado inashangaza kuona yale yanayotokea katika baadhi ya nchi zenye matukio ya vita.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, May 12, 2011

1 Responses to the dogs and the cats have forgiven each other,WHAT IS WRONG WITH US?

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Sijui niseme ni vichaa au sijui niseme nini? maana utakuta watu wanatunza mbwa na paka kuliko hata binadamu anavyotunzwa ....sijui huu ni uungwana kweli???

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo