Recent Posts

Kuvaa vizuri siokanakwamba wewe au mimi ni msafi.

Kujuwa wapi unapaswa kutupa taka haiitaji shahada.

Inasikitisha,inauma pale unapomwona mtu mzima kanunuwa maji ya kunywa,kanywa,kamaliza then ile chupa ya maji anaitupa barabarani tena katikati ya barabara.

Jamani...

Inasikitisha pale unapokuta condom apozo zimetumika zimetupwa kiholela.

Jamani...

Naamini binadam ni kiumbe ambacho kinaelewa lakini hakipendi kufanya kile kinachoelewa.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, May 15, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo