Recent Posts

Ngono Zembe

na

Ngono makini?

Ngono zembe inatokana na kuto kutumia kinga.

Ngono halali au makini unatumia kinga.

Hivi...

Na kinga inautamu?

Wangapi kati yetu tulifundishwa jinsi ya kuvaa kondom?Au tulijuwa kutokana na uzoefu?

Ngono ni tamu jamani mtu asikwambie,tamu kuliko sukari.

Huwezi kula mlenda kila siku.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, May 1, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo