Recent Posts

Hivi UCHI ni nini?

Mtu anapokwambia uko UCHI wa mnyama ana maana gani?

Je...ulipotoka na kujiangalia katika kioo ulijiona uko UCHI mpaka jirani akwambie uko UCHI?

Kuna baadhi ya UCHI haziwezi kusisimuwa wa jinsia tofauti na kuna UCHI ukichungulia tu mwili unasisimka.

Je WAJUA...

Kuna UCHI zinazovutia na zisizovutia?

Je...

Ni sehemu gani ya mwili wa binadam hujulikana kama UCHI?

Chemsha BONGO...

Mwili wa binadam una UCHI ngapi?

Hivi...

Kuna tofauti kati ya SEHEMU ZA SIRI na UCHI?

Inashangaza kwasababu....hizi tuziitazo sehyemu za siri kila siku ziko wazi na zinatumika na watu tofauti tofauti.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, May 1, 2011

2 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. ``UCHI ´´-is a state of mind!:-(

   
 3. Kiini cha suali lako unacho mwenyewe "Kuna tofauti kati ya SEHEMU ZA SIRI na UCHI?"

  Jibu hamna!

  Sehemu yako ya siri unaonyesha tu katika tendo la kuandaa kuzaliwa kwa mtoto pia huonyeshwa basi na yule unayetaka kuzaa naye au madaktari na wahusika katika ka jambo hilo la uzazi

  Mengine niShetani mtupu tu (kama Shetani huyo yupo lakini)

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo