Recent Posts

Unaingia ofisini na kukutana na tarakishi (computer) ukiangalia kwa makini unaona Monita ya DELL,ssitim uniti ya APPLE,kibodi ya OPTLEX,mausi ya TOUCHMATE,hakuna cha UPS na mambo yanakwenda kama kawa.Cha kusikitisha BOSI KITAMBI MENEJA kaona kafika kampuni inakuwa.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, May 10, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo