Recent Posts

Hivi,unaweza kumfundisha mwanachuo au mwanafunzi solo la tarakishi kwa kutumia lugha ya kiswahili?

Kwa mfano...

Kifaa kinachoitwa..

CPU (CENTRAL PROCESSING UNIT) kwa lugha ya ugenini,kwa kina nani.......
SIPIYU kwa lugha ya kiswahili wakati SPU ni kifupi cha Central Processing Unit.

Ni hilo tu mwanateknohama.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, May 10, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo