Recent Posts

Muda mwingi nimetumia kupitia blog nyingi za hapa nyumbani.Nimejaribu kuona jinsi gani habari zinarushwa katika blogu zetu na aina ya habari zinazopachikwa katika blogu zetu.

Baadhi ya habari zinasikitisha sana,baadhi ya habari zinamanufaa kwa mwenye blogu peke yake,baadhi ya habari zinamwelezea mwenye blogu.Nikajiulize katika dunia ye leo,mimi msomaji wa blogu yako mwenye kibato cha chini nasoma kuhusu siku yako ya kuzaliwa?Nikaendela kujiuliza katika dunia ya leo,mimi msomaji wa blogu yako mwenye kipato cha duni nakutana na picha jinsi unavyonunua vitu supermarket?

Bado,licha ya kupewa zawadinasema bado.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, August 8, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo